HUDUMA KUU YA CHAMA NI MIKOPO
Utaratibu wa Mikopo
- Mikopo hutolewa kwa kigezo kisichozidi mara 3 ya Akiba ya mwanachama
- Mikopo hutolewa kwa wanachama (ikiwemo vikundi wanachama) waliotimiza vigezo pekee
- Chama hutoa msamaha wa Riba kwa muda wa mwezi 1 kama motiasha
Aina za Mikopo
Mkopo wa Dharura. (Hii ni Mikopo ya Muda Mfupi - Mwezi 1)
Mikopo ya Uzalishaji & Kijamii. (Hii ni Mikopo ya Muda mrefu - Mwaka 1 hadi 2)
- Biashara
- Elimu
- Kilimo
- Ufugaji
- Ujenzi
- Mikopo maalumu kwa Wajane
- Mikopo ya Vikundi
Maombi ya Mikopo, Kiwango, Ada & Tozo
- Mkopaji atatakiwa kununua fomu ya Mkopo pamoja na kulipia gharana za Bima
- Fomu za Mikopo zinapatika Ofisini (UVIMA SACCOS) au katika tovuti yetu ya www.uvimasaccos.org
- Kiwango Cha juu Cha Mkopo ni 20,000,000
- Riba kwa Mkopo wa Dharura 5%
- Riba Mikopo ya Muda mrefu ni 1.5% kwa mwezi
Elimu ndio Urithi pekee kwa Mwanao
Somesha watoto Hadi Nje ya Nchi kwa kupitia Mkopo toka UVIMA SACCOS LTD
Maisha ni Nyumba Bora
Ongeza Thamani Nyumba yako kupitia Mkopo toka UVIMA SACCOS LTD
Twende zetu Shambani Kumenoga
Lima Parachichi Kibiashara Kupitia Mkopo toka UVIMA SACCOS LTD.
Ufugaji Unalipaa
Fuga Kibiashara Kibiashara Kupitia Mkopo toka UVIMA SACCOS LTD
Wajumbe wa Kamati ya Mikopo
Credits:
SACCOS Bora Mkoani Kilimanjaro